Mwana FA " Sijui Nini Kimeniponesha Nilijifukiza Mara 3 Kwa Siku"



"Nimepona kwa sasa, tena baada ya kupima mara 8, hata ukiniuliza nimefanya mbinu gani hata sijui, kila kitu nilichokuwa naambiwa kwamba kitasaidia nafanya, jifukize kupitia karafuu, tangawizi na limao kwenye maji, nijifukize kwa dk 15 mara tatu 3 kwa siku nafanya, au kuna dawa ya antibiotic nakunywa"

 #CloudsFM

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad