Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae

Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu.

KWA MFANO: 
1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear''

2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui''

3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilikuwa haina hata hela ya kubeep''

4. Au ukiona mwanamke anaanza kwa kukwambia nikwambie kitu? We mkatalie kiutani utani tu, mwambie usiniambie, hata akikomaa vipi akwambie mwambie sitaki uniambie huku unafanya kama utani lakini moyoni unakuwa upo serious.

Ni mara chache sana mwanamke akikwambia kuwa mambo mabaya, maisha magumu au mambo hayaendi huwa na matatizo mengine kama kuumwa, misiba.... n.k lakini THE REST ni wapigaji mizinga tu. Akikwambia maisha magumu mjibu ''pole wangu, mambo mengine vipi?''

Ukipewa majibu kama hayo, chagua moja, either usiendelee kuchat nae mpaka badae kidogo au mbadilishie maada ili kukwepa huo mzinga ambao unakuja mbele yako. 

By Dr. MCHUNGUZI HURU

Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumamae we admin umepatia balaa
    Yamekukuta nini?
    Niwapigaj balaa

    ReplyDelete
  2. Hahahaha! du! Ndo zao hizo lakini ukijifanya mjanja sana ujue utatombewa nje. Bora ukubali matokeo maana wewe kama haupo tayari kupigwa virungu kuna wengine wapo tayari kwa hilo , mfano hii picha ya hii uloiweka kuna watu wakimuona demu wako ana maumbile haya na wewe ni kishuka basi ukubali ku share penzi lako, au kama unasukuma siku tu hayo maswala mengine.

    ReplyDelete
  3. Hizi picha mnazitoleaga wapi jamani duh

    ReplyDelete
  4. Wajibu wa kila mwanaume ni kumtunza mpenzi au mke wake itashangaza na huyo mwanamke haujatumiwa pesa ya vocha then unamjibu maswali kama hayo coz wewe mwanaume unapaswa kuyajua kwa undani mambo ya mpenzi wako pia mwanamke sasa kwa nini maswali ya kutegena kama hayo sasa mtu akikwambia ukweli mawazo unachunwa, angalia upo katika uhusiano na mtu wa aina gani then mjaribu.

    ReplyDelete
  5. mimi kama sina kitu nakwambia moja kwa moja mpenzi sina hela naomba unitumie sasa hapo ni wewe kuchagua kunitimia au la kwa nini nizunguke wakati sina kitu kwa nini nife njaa wakati wa kunisaidia nipo kwani wakati anakuja kunitongoza alikuwa anakuja kwa raha tuu wakati wa shida hakuna kusaidianana
    SEMA USIKIKE NA UPONE

    ReplyDelete
    Replies
    1. umenena ndugu kama hawataki kutunza watatunziwa na wengine

      Delete
  6. Wewe umenenahapo juu,namuambiaga mdogowangu mwanaume asiekujali temananae haraka.sio mpaka mwanaume uombwe hivi huwezi kumpa mpenz Wako pocket money hadi akuombe wamezidi ukavu wamakopa hutoi unaombwa ukisepa sepa salama we ufunue tu ule hata ya sabuni perfum ikushinde chaaaaaa.ndiomaana mapapaaa wanagandwaga nawanawake sababu watoaji wazuri halafu hawasimamii kuchakivile.unamkuta mtu msimamiakucha nahela hakupi utaishia kuita mademu wazuri shemeji kwawadogo zangu nishawapa darasa hamnakulea maradhi mpende akupendae naanaekujali kwadhati.

    ReplyDelete
  7. wanaume wamezidi ubahili sio kama wanaume wa zamani anakupa hela ya matumizi hta mara moja kwa mwezi,ndo mana tukiulizwa itabdi tufunguke mambo mabaya no money na kikubwa anagalia je mwanamke wako anakuomb hela mara kwa mara kma sivyo kwa nn ukimbie loh,mnataka kufunua tu kuhudumia mnakimbia kusaidiana ni muhimu leo usipotoa kwenye ndoa pia hutatoa kabisa mi i hate serengeti boys wa saiv wanajua kutongoza kwa maneno tu kuprovide wanakimbia na hii ni kwa sababu mna michepuko mingi ndo mana mnashindwa kuprovide mnahisi mtafilisika acheni hzo wanaume wetu hela ya mpenzi tamu u feel proud

    ReplyDelete
  8. Well said shost nawakujiamini hapo juu.halafu wabahili ndio wahuni zaidi sababu yakutemwa,nahao wasimamiakucha wanajidanganya wakijua game wamewini,ukiona mwanamke anakupenda wemsimamia kucha ambae huprovide mchango wowote kwake jua huyo mwanamke hajampata wakumjali,akimpata we nakuchazako hizo simama dede nautaachwa ataenda kwa anaejitambua.nawanawake tuache kujirahisi hatakama unakazi nzuri ndio ukatumike tu bure hakupendi huyo jua yupo atakae mpata atamuhudumia nawe utaachwa wanaakili hao kwani?

    ReplyDelete
  9. hahahahahahahah

    ReplyDelete
  10. wadau wote nimewakubali kinoma big up

    ReplyDelete
  11. waaenge nyie mnao dis wasio kuwa na hela, ndio mnaishua kuuzwa kwakupenda pesa, kuma nyie

    ReplyDelete
  12. Muhudiwe kwani nyinyi hamna mikono ya kufanya kazi na kupata kipato badala ya kutegemea mwanaume akupe hela...Ina maana yeye hazihitaji hizo hela akupe wewe kula kulala??Hata ukiwahudumia ubaya wanawake wengi huwa hawaridhiki na huduma unatoa na bado wanakusaliti.ACHA WAKASAGANE TU haisumbui.

    ReplyDelete
  13. kama umempenda demu kikwelikweli mpe tu cyo mbaya, me mbona kuna demu akiniombaga nampa, halafu bado sijamla! sababu nimempenda, msiwe wachoyo jamani, kama unacho mpe tu kiroho safi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad