Mwijaku ""Diamond Ameachana na Tanasha Sababu Anaamini Ushirikina na Kutaka Kumfurahisha Mama yake"


"Diamond ameachana na Tanasha sababu haamini ushirikina, Anataka amfurahishe mama yake kuliko mpenzi wake sio kosa ila anazidisha. Tatizo sio Diamond tatizo ni mama yake maana Diamond anataka amfurahishe mama yake kuliko mpenzi wake kitu ambacho ni tatizo, Kumfurahisha mama yako sio kitu kibaya ila angalia usizidishe hapo ndio tatizo” amesema Mwijaku kwa mujibu wa Bongo5

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad