Mzee wa Bwax amponda Dulla Makabila




Msanii wa muziki wa singeli, Mzee wa Bwax, ameiambia eNewz kwamba anashangazwa na wasanii wa singeli wanaofanya kiki za kujiuwa au kupaka make up kama wasanii wa bongo fleva.

Mzee wa Bwax amesema kwa kufanya hivyo wanauwa muziki wa singeli, Aidha Mzee wa Bwax ameenda mbali zaidi kusema kwa sasa Dulla makabila hana jambo hivyo atulizane tu maana upepo upo kwake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad