Nape Ataka Rais Magufuli Achaguliwe Tena Urais


Mbunge wa Mtama, @nape_nnauye, leo alipata nafasi kuchangia huko Bungeni. Pamoja na mengine, Nape alisema “Rais Magufuli hakuteuliwa bahati mbaya tuliona ataweza kutekeleza kazi tuliyompa na nina hakika #CCM ikifanya tathmini leo, lazima itampa tena nafasi ya kuendeleza kazi ambayo ilimkabidhi pamoja na kazi nyingine"

Nape aliongeza "Ninaipongeza sana Serikali kwa kazi nzuri iliyofanya, ninaamini kuwa chama changu kitasimama na kitampa tena nafasi Rais Dkt Magufuli, kuendelea kuongoza kwa miaka mitano mingine na wananchi nao watasimama naye."

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumbe kampeni zimeshaanza au tayari corona imeshaanza kuwa-confuse wanasiasa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Apana Mdau, Ndiyo ukweli wenyewe
      ikibidi, na akikubali mwenyewe.
      mungu ampe Uhai na Afya.
      tumuombe mpaka 2030.

      Nadhani uttakubbaiana nami.

      Fisadi ndiyo atakataa...!!

      Wewe uko kudi lipi..?

      Magufui Oyeeeee..!!

      Jembe Letu Orijino.!!

      Delete
  2. Kumbe kampeni zimeshaanza au tayari corona imeshaanza kuwa-confuse wanasiasa. Haya ni mambo ambayo yakisemwa kwenye vikao vya chama huaga yanakuwa na radha nzuri zaidi kuliko kuyasema barabarani, sokoni, bungeni, n.k. ambapo panakuwa na watu wenye itikadi tofautitofauti.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi nnavyo hisi juu ya uelewa wako, WEWE NI WA MIREMBE, Kama Dozi imepungua, Nakushauri haraka Muone Dokta .

      Kwani mwenye Akili Timamu Haambiwi. mwenye macho pia, na mwenye masikio pia.

      Wewe inaelekea vyote umekosa..!!

      Mimi nimesha Gundua tatizo lako
      na wapi pa kukusaidia kukutibu.

      karibu jijini Dodoma.

      unachukua bajaji mpaka Hazina / Mlima wa Isanga nyuma yake iko
      Hospitali ya Ugonjwa wako.

      Pole mwanangu.

      Magufuli ndiyo chaguo letu na mtetezi wetu.

      Kiboko ya MAFISADI na kama wewe!

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad