Ni Nani Aliyekutuma Kuoa Mwanamke Flat Screen?

Naongea na wanaume wenzangu wale walio owa wanawake wenye makalio madogo halafu wakiona wa wenzao wenye makalio makubwa wanaanza kupiga mikelele.

Utakuta uko na mkeo matembezini uku kafungashia kidogo basi mijanaume isiyokuwa na akili inaanza kupiga mayowe oh wakubwa wanafaidi ohh marshallah.

Kwanini na wewe usioe au kutafuta mwanamke mwenye makalio na ukaacha kutamani vya wenzao. Kwanza unamkosea adabu mwanaume mwenzio kupiga miyowe utadhani umeona utupu wa mzazi wako.

Acheni ujinga tuacheni tuenjoy na wake zetu maana hatukuwatuma kuoa flat screen.

By Nitonye
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwanamke si makalio,tabia

    ReplyDelete
  2. M.mke kwenye makalio makubwa wengi wanakua Na sura nzito,mbaya Na wengine wafupi Na wakorofi mno,kwa ndoa bora Flat Screen

    ReplyDelete
  3. tobaaaaaaaaaaaa we hii mada gani tena! salaleeeee kumbe maalio dili ngoja wawee mchina.

    ReplyDelete
  4. Kweli kabisa mimi mwenyewe ni muhanga wa hili.

    ReplyDelete
  5. FLAT SCREEN NI NOMA KITANDANI MAZEE! WENYE KUFUNGASHA KWA BED WAZITO!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad