Nyalandu: Hatua za haraka zichukuliwe kupunguza msongamano kwa mahabusu na magereza


Aliyekuwa mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amesema zinahitajika hatua za haraka kupunguza msongamano katika mahabusu na magereza nchini.

“Hii ni kama tahadhari ya kunusuru maisha ya Watanzania dhidi ya uwezekano wa mlipuko wa #Covid19,” aliandika Nyalandu katika akaunti yake ya Twitter.

“Mamlaka husika waione dhamana waliyonayo na nguvu ya maamuzi yao. #MunguibarikiTanzania,’.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad