Part II: Sehemu ya pili ya Mfungwa Mtanzania Lilian akisimulia kutoka gerezani Indonesia

Hii ni sehemu ya pili ya Msichana wa Kitanzania aitwae Lilian ambaye amefungwa gerezani Indonesia tangu mwaka 2017 baada ya kukamatwa akiingiza dawa za kulevya ambapo alimtafuta Millard Ayo kwa zaidi ya mwaka mmoja ili amuhoji sababu anaamini kilichomtokea kitafundisha wengi, kama uliikosa sehemu ya kwanza unaweza kuisikiliza nimeiweka chini ya part II hapahapa kwenye hii post

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad