(+PICHA) Diamond Ampeleka Zuchu Kufanya ‘Shopping’ Wakitumia Gari Lililokuwa la Tanasha


Diamond amefanya wengi waanze kumumulika baada ya kupost picha na video zake wakiwa na msanii Zuchu aliyesajiliwa katika lebo ya WCB hivi majuzi wakiwa pamoja wakifanya ‘shopping’ .

Si hayo tu mbali walikuwa wanatumia gari lililokuwa la Tanasha kuenda kufanya mambo hayo.

Tanasha na mama Dangote walinunuliwa zawadi ya gari mwaka jana.


Baada ya aliyekuwa mpenzi wake Diamond Tanasha kumtema na kuacha kila kitu nchini Tanzania baada ya uhusiano wao kufeli aliacha kila kitu ikiwemo gari hilo.

Akiwa katika mahojiano na true love allisema kuwa gari liko nchini Tanzania.


“THE CAR IS IN TANZANIA; I HAD NO INTEREST IN TAKING IT. I HAVE MY CAR, MY BMW. I AM NOT GOING TO LEAVE A RELATIONSHIP, AND SAY I AM GOING TO TAKE THIS CAR, OR I AM TAKING THIS. I CAN GET MYSELF A CAR, I CAN GET MYSELF WHAT I NEED.” Tanasha Alizungumza.

Kwa sasa inaoneka zuchu nduye atakaye tumia gari hilo kwa muda.
Zuchu ameweza kutoa kibao ambacho kimeenea sana katika mtandao wa kijamii kwa muda mchache sana, tazama picha zake na Diamond hizi hapa;

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad