PICHA: Muonekano Mpya wa Msanii Aslay Kufuatia Wimbo Wake Mpya



Mwimbaji Aslay ametuonesha muonekano wake mwingine ikiwa ni ujio wa wimbo wake mpya unaoitwa ‘Mchepuko’.

Wimbo huo Mpya wa Aslay unatarajiwa kuachiwa muda wowote kuanzia sasa ikiwa zimepita week mbili toka uachiwe wimbo alioshirikishwa na msanii Hamadai.

Kama utakuwa unafuatilia hii siyo mara ya kwanza kwa msanii Aslay kubadilisha muonekano wake kwa Sababu ya kutoa wimbo mpya, zipo nyimbo nyingi amefanya hivyo.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad