Polepole Arusha Kijembe Asema Huu sio Wakati wa Kutisha Watu ama Kuchukua Hatua za Kufedhehesha utu


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema wanaendelea na maombi maalum ya siku tatu kusimama pamoja na watashinda.

Polepole amesema rai yake baadhi ya viongozi wa serikali wanatakiwa kuzingatia kuelimisha umma zaidi na kutiana moyo kuwa watashinda.

“Huu si wakati wa kutisha watu au kuchukua hatua zenye kufedhehesha utu, vitendo hivyo havikubaliki,” Polepole aliandika ujumbe huu katika ukurasa wake wa Twitter leo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad