Its Official, Prince Harry,35, ameacha rasmi kutumia majina yake ya Kifalme 'HRH' Ambalo ni His Royal Highness na jina la Familia 'Archie Mountbatten-Windsor' na kubaki kuitwa 'Prince Henry Charles Albert David, Duke of Sussex' kama ilivyoonekana kwenye vibali vyake vya kusajili kampuni mpya ya kitalii ya Travalyst nchini Marekani na Uingereza. Hatua hii ni ya kuanza maisha mapya na mkewe Meghan Markle na mtoto wao Archie mwenye miezi 11. Prince Harry ana ofisi za kazi Beverly Hill California na London.
Waje kuwekeza, tunawakaribisha
ReplyDelete