Rais Ataka Wanaozurura Wakati wa Corona Kupigwa Risasi



Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amewatahadharisha raia wa nchi hiyo wanaotembea bila sababu maalum mtaani kuwa, wanaweza kupigwa risasi kwakuwa serikali imekataza ili kukabiliana na maambukizi zaidi ya virusi vya Corona.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad