Rais Magufuli Ameagiza Sh Milioni 500 za Sherehe ya Muungano Kupelekwa Zanzibar Kupambana na Corona


Rais John Magufuli ameagiza sh milioni 500 ambazo zilitengwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 56 ya sherehe za Muungano zitapelekwa kwenye mfuko wa kupambana na Covid-19 wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Rais Magufuli ametoa agizo hilo leo kuwa fedha hizo zitakwenda kutibu ugonjwa wa Corona.

“Shilingi milioni 500 ambazo zilitengwa kwa ajili ya maadhimisho ya Aprili 26 hapatakuwa na sherehe ya maadhimisho na fedha hizo zitapelekwa kwa serikali ya Zanzibar kupambana na Corona,” amesema Rais Magufuli
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad