Rais Magufuli Awataka Watanzania Watumie Siku 3 Kusali ili Mungu Atuepushe na Janga la Corona



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutumia siku 3 kwaajili ya kusali kuepuka Janga la Ugonjwa wa Corona .

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Magufuli aliandika…“Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} kumuomba Mwenyezi Mungu aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu, tusali kila mmoja kwa imani yake, atatusikia”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad