Rais Magufuli "Wanaotumia Mwarobaini na Vitunguu Swaumu Kuipiga Corona Tumieni"


“Niwaombe pia Watanzania tujitahidi kutumia njia nyingine za asili kupambana na corona, Wizara ya Afya mlisisitize hili zaidi, kuna kujifukizia na hili ni suala kisayansi unatoka mvuke unaozidi nyuzi joto 100 corona atapasukapasuka, wanaotumia mwarobaini na vitunguu tumieni “-JPM
#JPMChato

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad