Rais Magufuli "Wapo Wanaotoa Mawazo ya Kuifunga DSM, Haiwezekani Kamwe"


“Wapo wanaotoa mawazo ya kuifunga DSM, haiwezekani kamwe, DSM ni center ambako asilimia kubwa ya mapato inapatikana, hatuwezi tu kuifunga DSM kisa corona, DSM ina Watu Million 6 hatuwezi kuwafungia, kesho tena Mwanza tuifunge hapana, hatuwezi kufanya lock down DSM”- JPM
#JPMChato
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad