Rais Trump: Nimesikitishwa kusikia Boris Johnson ameingizwa ICU
0
April 07, 2020
Rais Trump ameungana na Viongozi wengine Duniani, kutoa pole kwa swahiba wake, Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutokana na kuugua corona.
”Tumehuzunika kusikia ameingizwa ICU,Marekani inamuombea, tumewasiliana na Madaktari wake kuona kama tunaweza kusaidia"
Tags