Rais wa Uturuki azungumza na Rais wa Georgia


Rais ErdoÄŸan azungumza na rais wa Georgia Salome ZourabichvilierdoÄŸan zurabiÅŸvili.jpgRais ErdoÄŸan azungumza na rais wa Georgia Salome Zourabichvili

Kulingana na taarifa ambazo zimetolewa na  ofisi ya msimamizi wa kitengo kinachohusikana na upashaji habri ikulu, marais  hao wawili wamezungumza kuhusu ushirikiano katika mapambano dhidi ya virusi vya  corona ambavyo vimekwishasababisha vifo vya watu zaidi ya  100 000.

Ushirikiano kati ya Uturuki na Georgia katika sekta nyingine  umejadiliwa pia.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad