Roma Mkatoliki "Toka Nifunge Ndoa Hakuna Muda Nimekaa Kipindi Kirefu Bila Kufanya Mapenzi Kama Hichi"



"Toka Nifunge ndoa, hakuna kipindi nimekaa muda mrefu bila kufanya mapenzi kama hiki..ni miezi sita sasa sijafanya mapenzi, kumbe kweli inawezekana bana Ukiamua..
Hivi kuna Athari zozote Kitaalamu?

Nakumiss Sana Mke Wangu @mrs_roma2030 💕💞❣️ Uaminifu Ndiyo Nguzo Pekee Kwenye Ndoa Yetu"


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad