Rotimi anasema yeye na Vanessa Mdee sio wa kuachana leo wala kesho. Aidha, Vanessa nae amesema -
“Ninaishi maisha mazuri na ninaenjoy sana, nimeyapata mapenzi mazuri nina furaha, kwa hiyo kwa sasa nimeamua kupumzika muziki na kujipa muda na mpenzi wangu kufurahia maisha, muda wa kufanya kazi ukifika nitarudi na mtaona nikifanya hivyo,” amesema Vanessa