Waziri mwenye dhamana na sekta ya Sanaa Mh Harrison Mwakyembe amelitolea ufafanuzi zaidi suala la Shindano la Bongo Star Search wakati akihitimisha hoja Bungeni ya makadirio ya mapato na matumizi kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
“Madame Rita aheshimu mikataba....sisi hatuna tatizo na Bongo Star Search...ametuandikia barua atalimaliza ndani ya mwezi mmoja hatuna shida na sisi tunathamini anachokifanya katika kuendeleza sanaa lakini atekeleze wajibu wake kimkataba”
Tena kwa Nia aliyo iyonesha ya Dhuluma na Ujanja una Uongo wa kuisingizia Star Media.
ReplyDeleteHizo milioni 50 alipwe zote ajili ya Nia iliyo dhihirika ya
Breach of agrement .
Mwakyembe hawa wanyonge wanahitaji protection kupata Haki yao all theway from 2013 winners to 2019 .
We cannot tolerate Ujanja na Magumashi and Haki ya kina KAYUMBA
HuyuMama Rita akishirikiana na Genge lake lenye Wigo mkubwa
ReplyDeleteukiangalia historia ya kuto walipa washindi wa bss. ilikuwa ni jambo la kawaida hasa katika mbinu za kuwanyamazisha Mkubwa ni Kinara nguli.
Mwakyembe, wewe ni msomi mzuri na tunakuamini katika kkurudisha Haki za hawaChipukizzi wanao vunjwa Moyo kabla hata hawajaanza maisha ya Sanaa.
Ww ni mwana sheria mzuuri na Biswalo pia ni muadilifu.
Chonde chonde kina Kayumba ,Meshaki na wenzao haki zao zipatikane, Halafu mengine yatajulikana baadae ikiwemo
kuangalia upya utoaji wa vibali na pesa taslimu kuwasilishwa
kwa baraza husika as a bond.
Tuna Imani na Serikkali ya JPJM. Nyinyi mkiwa wasaidizi wake
Itapendeza , Malipo yatakapo fanyika ya hawa wasanii chipukizi walipwe na Runinga zitu Habarishe MUBASHARA.
ReplyDeleteILI NYOYO ZETU NA ZAO ZIWEZE KUKUBALI UTENDAJI WA HII SERIKALI YA WANYONGE.
ILIVYO JIAINISHA KUWATETEA WANYONGE.
NA ITAKUWA PIA NI VYEMA KWA MS. RITHA NA FALLA MKUBWA. NA WENZAKE.