Shamsa Ford 'Napambana SANA Nipate Hela zangu Nisitegemee Mwanaume..Najua Thamani Yangu"
0
April 09, 2020
Naijua thamani yangu, zaidi najitambua sana, namshukuru Mungu kwa hilo, ndio maana napambana kila siku kutafuta pesa yangu ili baadaye nisije kuwa tegemezi kwa mwanaume. Hivyo nawashauri na wanawake wengine kujitambua ili wasiyumbishwe na waume zao,” Shamsa ameliambia Risasi
Star huyu miezi iliyopita alimbwaga Chidy Mapenzi aliyekuwa mumewe baada ya kuona jamaa haeleweki
Tags