Shangazi Yangu Ananisaga Kila Mara, Nifanyeje??

Mimi naitwa NASRA na nina mika 24, hilo nalileta kwenu jambo lango wana-Udakuz naomba mnisaidie ushauri ili niwe kutatua tazizo hili linalonikabili hapa chini:

Baada ya mama yangu kufariki 2001 kuna shangazi yangu (ambaye ni mke wa mjomba wangu) alinichukua kwa minajil ya kunilea na kunisomesha ila amekuwa AKINISAGA tokea niko mdogo mpaka sasa! ambapo nikiwa mdogo wakati nimelala nilikuwa nashtuka yupo juu yangu na mimi nipo UCHI huku ananinyonya MATITI na sehemu nyingine za mwili na baadae alikuwa anapanda juu yangu na kunilalia huku akifanya vitu fulani mpaka ananimwagia vitu fulani katika sehemu zangu za siri na kuniambia ninyamaze nisimwambie mjomba "eti atanipa pesa ya kutumia shule na kunipeleka na gari, alipokuwa akimaliza baadae alikuwa akiniogesha na kuninunulia vitu VITAMUTAMU. Nilinyamaza maana sikujua jambo lile ila aliendelea kila mara mchezo wake huo.

Mpaka sasa Nimekuwa Lakini anaendelea mchezo huo na mimi nimeshajua na sometimes nasikia raha ila roho yangu haitaki kabisa mchezo huo , huwa naumia sana ...nataka niwe msichana wa kawaida ni date na wavulana na nisikie raha napokuwa na mvulana.....naombeni ushauri...
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ushazoeshwa wewe.hata ukipata mvulana utamtaka shangazi wako tu.pole sana mwambie mjomba wako.

    ReplyDelete
  2. Ndiyo Sababu..Adhabu za mungu zinakuja
    kwa sababu ya makosa kama Haya sasa
    NOVEL CORONA COVID-19 ina angamiza
    RUDINIKWA MOLA MTUBU.

    ReplyDelete
  3. Kwakuwa umeomba msaada basi utasaidiwa.
    Ni kweli hicho kitu si kizuri na ni machukizo mbele za Mungu na kinaileta laana. Shangazi yako alikuonea sababu ya utoto na uyatima wako. Hayo ni moja ya matrso wayapitiayo yatima au watoto wengi wanaolelewa nje ya Familia zenye wazazi wao.
    Sasa wewe ni mtu mzima na watambua hilo ni dhambi. Ondoka upesi kwa huyo shangazi yako na mwambie mjomba wako au kamuone ndugu yako mkubwa mwenye hekima au kiongozi wa kiroho mwenye maadili au ustawi wa jamii ili kupata msaada. Pia anaweza kushitakiwa kwa kuwa alikufanyia sexual abuse tokea ukiwa mtoto. Usikubali akuonee zaidi. Inawezekana unaogopa kuondoka hapo sababu labda hujui utaanzaje maisha na pengine huyu shangazi yako hapendi utoke hapo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad