Hemed PHD amemchana mwanamuziki mwenzake Juma Jux Kwamba si lolote kwa uzuri kuwa zile ni picha tu, kutana nae Live, Juma hana uzuri wowote"
Sasa kutana na Comments za wadau hapa:
Sikuizi wanaume wanashindania uzuri aseee corona itatuacha kweli
Ww mwanaume mzima unasema mwanaume mwenzio hana uzuri wowote ww utakuwa mzima kweli
Mwanaume hasifiwi sura yy acha abaki n sura ake hyo kama mwanasesele wa spesho
Hemedi we mrembo na hizo hereni zimekutoa hatar ungepakwa wanja wa lulu ungekuwa miss bongo movie
Huo ni umama mwanaume kumwambia mwanaume mwenzako si mzur