Nakumbuka nilipokuwa darasa la 4 nilitokea kumpenda dada mmoja alikuwa anaitwa Rusi.
Nilihangaika sana namna ya kumpata lakin nilikuwa naogopa kutongoza kipindi hicho. Ikabidi nimweleze kaka mmoja ambaye ni mkubwa kwangu kumbe naye domo zege akanishauri niende kwa mganga ili anipe dawa ya mapenzi.
Kipindi hicho hata hela sina sikuwa na uwezo wa kupata ikabidi nikaenda kweli kwa mganga. Yule mganga akaniambia dawa ipo lakin nmpe shilingi elfu 2.
Nikaumiza kichwa namna ya kuipata nikaona ngoja nimdanganye baba kuwa nmepoteza kitabu cha mwalim, nilipomweleza baba akanipa hyo hela nikaenda kumpa yule mganga naye akanipa dawa nikarudi nyumban.
Nikaanza kila asubuhi napaka ile dawa nikiwa naenda shule na namsubir huyo Rusi tunaongozana huku nikisubiri yeye ndiyo aanze kuniambia ananipenda kwasababu nilijua ile dawa itamvuta na anipende.
Nikaona wiki inakatika Rusi hana mpango hata wa kunitamkia kuwa ananipenda nikazidi kujisiliba hayo mafuta ya dawa lakin kimya. Nikaona acha nibadili dini nimfuate anakosali yeye huku nikizidi kupaka ile dawa lakin hakuna hata siku moja aliyoweza hata kunichekea. Nikaishiwa nguvu baada ya kuona dawa inaisha bila hata kuona tabasam la Rusi pamoja na jitihada zote. Tangu siku hyo simwamini mganga yoyote nyamaafu
Hahahahahahaha mganga noma kajilia elfu2 zakeeeeeeeeee.
ReplyDeletemwee mi mwenyewe siamini kama kuna dawa ya mapenzi jamanii. eti wtz wenzangu hv ipo ya ukwelii??
ReplyDeleteBora haipo
ReplyDeleteZIPO SANA TU.KWANI LIMBWATA NI NINI?NI DAWA YA MAPENZI HIYO.ILA YA KUTONGOZEA CJUI KAMA IPO NA KAMA IPO BASI ITAGEMEA NA UJANJA WAKO WA KUONGEA NA VIDOSHI.HA HA HA HA HA HAHAAAAAAAAAAA..........POLE SANA NDUGU YANGU.WENGI WANAZINGUA SANA HAWA JAMAA.
ReplyDeleteDarasa la 4 kwa Mganga wa Kienyeji kwa ajili ya Mapenzi? Mh! Dunia inafikia mwisho.
ReplyDeleteIla na ww ulianza mapenz mdogo mno darasa la nne au ndyo story tu
ReplyDeleteAdmin huna jipya huyu baba wa kupenda mwanamke na kwenda kwa mganga awe darasa la nne !!!!!?? sio TZ yaani hujanishawishi
ReplyDeleteAngalia vya kupost ww darasa la 4 na mapenzi wapi na wapi
ReplyDeletedawa zpo ila ulianza mapema mno na ndo maana mganga alikupatia dawa isiyo sahihi kwani umri ungali mdogo ungeharibikiwa.
ReplyDelete