Spika Azuia Hotuba Ya Kambi Rasmi Ya Upinzani Kusomwa Bungeni


Spika Ndugai atishia kutaja wabunge waliotelekeza watoto | MtanzaniaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amezuia hotua ya kiongozi Mkuu wa kambi ya upinzani kuhusu ofisi ya Waziri Mkuu kwa kila alichodai hotuba hiyo kuwa na makosa mengi ya kimaandishi pia mambo mengi yaliyoandikwa humo ni shutuma

Spika Ndugai ametoa umauzi huo leo mara baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwasilisha makadilio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa mwaka ujao wa fedha wa 2020/2021Spika Ndugai: Wabunge 363 Hawatasafiri Nje ya Nchi Kwa Miaka Yote ...

“Zinapokuwa hotuba za upinzani zinakuwa na shida, kwa mfano hii ya leo ina mambo mengi sana ambayo ni ya kubuni na kuna mambo mengi ambayo yana shida za kiuandishi na mengine hayaja hakikishwa na vyanzo chake kama watu waliopo kwenye mikutano ya hadhara sina muda wa kupitia mengi ila kubwa kuliko yote ina makosa mengi sana ya kiuchapishwa  pia lugha ilyotumika humu sio nzuri na pia inaisema vibaya mahakama kwa kuzungumzia baadhi ya mambo ambayo yapo mahakamani pia kuna matumizi mabaya ya jina la rais na pia wamelaumu sana bunge la kumi na moja….kwa kifupi siwezi kuruhusu hotuba hii isomwe “ amesema NdugaiHalima Mdee: Wabunge wote tupimwe Corona – Dar24

Nafasi ya mkuu wa kambi rasmi ya upinzani inashikiriwa na Mbunge Halima Mdee kutokana na mwenyekiti wa chama cha kikuu cha upinzani nchini Freeman Mbowe kuwa kwenye karantini binafsi kutokana na ugonjwa na Corona
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad