Spika: Mazishi ya Lwakatare Yatahudhuriwa na Watu 10 tu, Serikali Ndio itasimamia


Akifunga kīkao cha Bunge jioni ya leo, Spika Job Ndugai ametangaza kuwa mazishi ya Mama Rwakatare yatafanyika siku ya tarehe 23 Aprili na yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, pia familia imeomba azikwe kwenye eneo la kanisa Mlima wa Moto.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad