Huku ugonjwa wa Corona Ukiendelea Kuwa Tishio Nchini Marekani ambapo mpaka hivi Sasa zaidi ya Watu 400,546 wamepata Maambukizi ya Virusi ivyo, Takwimu zinaonyesha Wamerekani Weusi ndio waathirika wakubwa. .
Kutokana na Takwimu zilozoandikwa na Vyombo mbalimbali Nchini humo likiwemo Gazeti za Washington Post , Virusi vya Corona vinaonekana Kuwaathiri na Kuwa ua watu Weusi zaidi Nchini humo. .
Mpaka Sasa Virusi vya COVID-19 Vimeshasababisha Vifo vya Watu Takribani 12,000 Nchini humo huku asilimia 70 Kati ya waliofariki wakiwa Ni Wamarekani Weusi. .