TANZIA: Mdogo wa Edward Lowassa, Bernard Lowassa Afariki Dunia



Mdogo wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo, Aprili 28

Amefariki katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu. Inadaiwa alikuwa na matatizo ya kupumua

Bernard Lowassa alikuwa ni Mkurugenzi wa kampuni ya AGE Insurance Brokers l
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad