Tanzia: Wakili Ishengoma Afariki Dunia



Wakili Msomi Gaudiosus Ishengoma amefariki Dunia usiku wa kuamkia leojumanne april28 katika hospital ya Aga Khan jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu kutokana na kusumbuliwa na tatizo la kupumua..

Enzi za uhai wake Ishengoma alikuwa Wakili maarufu nchini kwa kusimamia kesi mbalimbali
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad