Tetemeko la Ardhi Lapiga Geita


TETEMEKO la ardhi limetokea majira ya saa 6:07 usiku wa kuamkia leo na kutikisa maeneo ya Kanda ya Ziwa hususani Masumbwe na Nyang’hwale, mkoani Geita.
Kwa mujibu wa taasisi ya utafiti wa kijiolojia nchini Marekani (USGS) imesema tetemeko hilo lilikuwa lenye ukubwa wa 4.5 kwenye kipimo cha Richter.
Tetemeko hilo limezua taharuki kwa wakazi wa Geita na mikoa ya jirani, lakini mpaka sasa hakuna taarifa za madhara wala hasara zilizosababishwa na tetemeko hilo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad