Rais wa Marekani, Donald Trump amelilaumu Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa linaipendelea nchi ya China na kushirikiana nayo kuficha ukweli huku akisema kuna mashaka juu ya idadi ya vifo na maambukizi ya corona inayotolewa na China. Trump ametishia pia kuacha kulipa fedha Shirika hilo.
“Tunawapa fedha nyingi kuwafadhili na bado kwenye hili suala la corona wanakosea mengi, nitaacha kuwapa fedha, hata nilipowazuia China kutoingia Marekani WHO ilinilaumu,” amesema Trump.
SO HE STILL THINKS MONEY & POWER CAN SOLVE EVERYTHING........LINA MACHO LAKINI HALIONI, LINA MASIKIO LAKINI HALISIKII SHENZY TYPE. SHAME ON YOU BIG HEAD UBONGO WA MENDE!!!!!
ReplyDeleteexactly ..netweki inagonga mnara
Delete