Ujumbe wa Alikiba Baada ya Wasanii Wake Wawili Kuondoka Kings music Ukiambatana na Picha ya Dully Sykes



Siku ya leo kumekuwa na headlines za Wasanii Cheed na Killy wanaotajwa kuondoka kwenye record label ya King’s music, taarifa hizo zilianza kusambaa baada ya wasanii hao kupost kwenye akaunti zao za Instagram.



Baada ya taarifa hizi C.E.E.O  wa lebo hiyo Alikiba bado hajatoa kauli yeyote badala yake amepost picha ya Dully Skyes akiambatanisha na ujumbe huu.

Unapomtendea mtu jambo lake tena kwa mapenzi yote
Usitarajie fadhira wala malipo baadae
Kwasababu kuna aina nyingi ya binaadam
Sio Kila mmoja ana MOYO kama wako ❤️#UsiogopeNiMipangoYaMUNGU
#Dodo
#HashTagTuendeleeKuburudikaNaDodo
#KingKiba


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad