Ujumbe wa Mapenzi wa Nandy kwa Billnass Baada ya Kuvishwa Pete ya Uchumba....


Mwimbaji Nandy amemuandikia ujumbe wa kimapenzi mchumba wake Billnass akimtakia kheri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa.

Nandy amepost ujumbe huo kwenye ukurasa wake wa Instagram ikiwa ni siku chache baada ya kuvishwa Pete ya uchumba na Billnass.


  •  ”Kwanza happy belated birthday mchumba wangu mpenzi!! @billnass Kama nilivyo ikubali hii pete basi nimekubali mazuri na mabaya yako kutoka moyoni hakika wewe ni mwanaume wa maisha yangu you know I LOVE YOU PY 😍



  • ”so……Sina mengi ya kuandika hapa sababu nimeyamaliza yote mbele ya uso wako! Safari ndio kwanza inaanza MUNGU wetu ni mkuu sana alituvusha na hata hili tutavuka salama! Asanteni wote kwa hongera mlizo nipa na kwa kuangalia pia show ya HOMA tuko pamoja more BLESSINGS 🙏🏻 Officially William fiancé🚨” – Nandy
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad