VIDEO: Alikiba Kafunguka “Siyo Kiki ni Kweli Wameondoka, Wasirudi, Siwadai”



Mwimbaji Staa Alikiba amefunguka kuondoka kwa wasanii wake wawili ambao ni Cheedy na Killy alikuwa akifanya nao kazi kupitia record lebo yake.

Alikiba amezungumza kupitia kipindi cha Shilawadu ya Clouds TV na kusema walimfuata saa nane usiku kumuaga na aliwaruhusu waende, na kuhusu Sababu Alikiba ameeleza hapa…

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama akifunguka:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad