VIDEO: Mwenyekiti wa UVCCM Arusha amvaa Lema ''hatuna Mbunge ,tuna Mbunge maarufu kuliko kazi zake''


Mwenyekiti wa UVCCM Arusha MJINI Bwana Saipulan Ramsey amezungumza na Muungwana Tv kuhusu jimbo la Arusha kurudi CCM jambo ambalo amedai kwamba  kwasasa vijana watashika nafasi ikiwemo ya ubunge huku akimtuhumu Mbunge lema kuwa hakuna kitu amekifanya tangu achaguliwe

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ki Ukweli, Walifanya Kosa kumchagua Mvuta
    ile Nanihiii...

    Msifanye kosa Tena.. Kukosa Maendeleo Miaka mitano iliyopita kwa ajili Gooilesii dreva.

    Vijana Wazalendo Mpo?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad