Wachezaji Waunda Group la Whatsapp Kupinga Makato ya 30% ya Mshahara
0
April 06, 2020
Mtandao wa Daily mail umeripoti kuwa manahodha 20 wa club shiriki za Ligi Kuu England wameunda group la Whatsapp kupinga pendekezo la vilabu vyao kuwakata mishahara.
Group la Whatsapp la manahodha hao linalenga kupinga makato ya asilimia 30 ya mshahara wa kila mchezaji, hivyo manahodha wanaandaa kupinga pendekezo hilo kwa umoja wao.
Manahodha hao inaripotiwa kuwa walijulishwa Jumamosi ya April 4 kuyumba kwa uchumi kwa vilabu vyao ambako kumetokana na kuwepo kwa mlipuko wa virusi vya corona.
Tags