Wadau Wadai BORA Angesajiliwa Tanasha Kuingia WCB Kuliko Zuchu


Wabongo Kweli hatuna maana, Baadhi ya wadau baada ya kusikiliza nyimbo ya Zuchu msanii mpya wa WCB wamedai kuwa bora angesajiliwa Tanasha Dona kwani anajua kuimba

Hizi hapa Baadhi ya Comments:

Hata mbosso mlisema hivihivi,mkaanza kumlinganisha na aslay....sasa hivi mboso anapiga ma show hadi germany wakati aslay chaliii...

Tanasha anaweza na ana sauti ya kuimba100%

Ndio maneno ya wabongo hawasifii hata siku moja wao ni negative tuu.....kila ukijitahidi watakwambia bora flani,roho za kwanini tu

officialireneuwoya's profile picture

😄😄mnataka kumuua hadijakopa na puresha

Heri wangemsajili khadija kopa kuliko Hiyo zuchu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad