BREAKING: Wagonjwa wa Corona Zanzibar Wafika 58....Ni Baada ya Wenginge 23 Kuongezeka


Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza ongezeko la wagonjwa 23 wa COVIDー19, hivyo kufanya idadi ya wagonjwa kisiwani humo kufikia 58. Kati yao, wagonjwa 21 ni raia wa Tanzania, mmoja wa Ufaransa na mmoja wa Cuba. Wagonjwa wawili walifariki nyumbani, hivyo waliofariki wamefika 3.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad