Wahudumu wa Hotel Waambukizwa Corona...



Idadi ya visa vya waathirika wa Virusi vya Corona nchini Kenya imeongezeka na kufikia visa 246, baada ya hii leo kutangaza visa vipya 12, huku watano kati yao ni wakiwa ni wafanyakazi wa hoteli.

Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe, na kusema kuwa kwa kipindi cha masaa 24, nchi hiyo tayari imekwishapima sampuli za watu 450.

“Mpaka asubuhi hii ninavyoongea tayari ndani ya masaa 24 tumekwishapima sampuli 450 na kati ya hao tuliowapima tumepata wagonjwa 12, na siku yenyewe bado haijaisha na watano kati yao ni wafanyakazi wa hoteli” Waziri wa Afya Mutahi Kagwe.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad