Watanzania Wawili Watupwa Baharini Kutoka Kwenye MELI Wakihofiwa Kuwa na Corona


Nahodha na mabaharia sita wa Kichina wamekutwa na hatia ya kujaribu kuwaua Watanzania wawili kwa kuwatupa baharini karibu na mwambao wa KwaZulu Natal, mwezi uliopita kwa hofu ya kuambukizwa #CoronaVirus

Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakaamriwa kuogelea. Siku tatu baadae waliokotwa katika Fukwe ya Zinkwazi

Cui Rongli amekutwa na hatia ya kutowaliporipoti wazamiaji hao, na kuwatendea tukio ambalo lingeweza kuwasababishia kifo. Amelipishwa faini ya $5,000 sawa na Tsh. Milioni 11.5 na wenzake wamelipishwa Tsh. Milioni 5.7

Meli hiyo ilikuwa inatoka Durban, Afrika Kusini kuelekea Singapore
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad