Watatu Wanaswa na Dawa za Kulevya KILO 270 Jijini Dar es Salaam



Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini *Dceatanzania imewakamata watu watatu akiwemo raia wa Nigeria kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroin kilo 270 zilizokuwa zimehifadhiwa katika nyumba moja huko Mbezi Kibanda cha Mkaa, jijini Dar.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanaishije hawa na Lithuenians na Latvians..?

    Au wana michongo na ....

    Uhamiaji na Mambo ya Ndani mnazo Data?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Muwape Kibano..tujue wahusika wote na wasaidizi ktk uingizaji uuzaji na masoko na wapokezi na usambazaji wake..??

      Na sehemu zingine huko mlandizi na Moro ambazo mpaka mmbeya mtandao mzima baaada ya kibano.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad