Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Atolewa ICU



Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ametolewa katika Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) na kuhamishiwa wodini huku bado akiendelea kuwa chini ya uangalizi maalum

Taarifa iliyotolewa na Ofisi yake imeeleza kuwa Johnson ambaye alilazwa baada ya hali yake kubadilika ghafla anaendelea vizuri hivi sasa.

Boris alilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku mbili baada ya hali yake kuzorota alipofikishwa hospital.

Wiki iliyopita, aligunduliwa kuwa na dalili za wastani za ugonjwa huo na kujitenga nyumabani kwake huku akiendelea kuongoza shughuli za serikali.

Lakini hali yake ikabadilika wiki hii na kulazimisha kupelekwa hospitali ambako bado anaendelea na matibabu. 
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. bORIS jOHNSON, Tumefarijika kupata taarifa kwamba unaendelea vizuri. Tuna endelea kukuombea kwa mungu akuvushe salama na Janga hili afya yako irejee vyema na uweze kurudi kazini na kuendeleza pambano la kuitokomeza Covid19 ukiwa wewe ni muhanga wake.

    Inshallah allah atakulinda na kukupa Siha na Afya Njema.

    We Pray for you @ all time for the betterment of Mankind against the Virus.

    Pamoja sana .....

    ReplyDelete
  2. BORIS JOHNSON, Tumefarijika kupata taarifa kwamba unaendelea vizuri. Tuna endelea kukuombea kwa mungu akuvushe salama na Janga hili afya yako irejee vyema na uweze kurudi kazini na kuendeleza pambano la kuitokomeza Covid19 ukiwa wewe ni muhanga wake.

    Inshallah allah atakulinda na kukupa Siha na Afya Njema.

    We Pray for you @ all time for the betterment of Mankind against the Virus.

    Pamoja sana .....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad