Wema Sepetu Amrushia Dongo Lulu Michael Kuhusu Kusuburia Harusi, After Party ya Birthday kufanyika kwake


Wema Sepetu Amrushia  Dogo Lulu Michael Kuhusu Kusuburia Harusi, After Party ya Birthday kufanyika kwake

Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu amempongeza msanii mwenzake Elizaberth Michael (Lulu) kwa kutimiza miaka kadha ya maisha huku Lulu mwenyewe akisema After party itafanyika katika kipindi cha Wema.

Wema amesema anazisikia kengere za harusi mwaka huu lakini Lulu alikwepa kujibu hilo lakini alimuuliza iwapo after party itafanyika katika kipindi chake Wema akakubari.


“Happiest Birthday to You Babe… Umekua mdada sasa… More Life to you sugar… 🥰🥰🥰 Nakupenda kitambo sana. I hear wedding bells this year”.
Wema Sepetu Amrushia  Dogo Lulu Michael Kuhusu Kusuburia Harusi, After Party ya Birthday kufanyika kwake

Aidha siku ya leo Lulu ambaye ameingia katika tasnia ya muvi za bongo katika umri mdogo ametimiza miaka 25 na kutokana na mlipuko wa corona hakuweza kusherehekea siku yake hiyo kama kawaida badala yake amesema ataluwa live katika akaunti yake ya youtube.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad