Zuchu "Amwaga Machozi Wakati Akielezea Safari ya Maisha Yake ya Mziki..Nilitamani Kuacha Muziki
0Udaku SpecialApril 13, 2020
Zuchu "Amwaga Machozi Wakati Akielezea Safari ya Maisha Yake ya Mziki..Nilitamani Kuacha Muziki nikafanye Kazi Nimsaidie Mama Angu , ila nilivumilia Miaka minne nikiwa ndani ya WCB naenda tu ofisini ila sitambulishwi....