MWIJAKU: ZUCHU Atampoteza MBOSSO na Lava Lava Wataanza Kumroga , HARMONIZE atapotezwa na msanii wake ajiangalie
0Udaku SpecialApril 13, 2020
MWIJAKU: ZUCHU atampoteza MBOSSO wataanza kumroga , Zuchu anaimba na kupita njia zile zile za Mbosso na Lava Lava, Yaani Zuchu Inabidi Amtangulize Mungu Atalogwa sana na hao hao wa ndani.....HARMONIZE atapotezwa na msanii wake ajiangalie