Wabunge Chadema Wakaidi Agizo la Mbowe, Watinga Bungeni Kibishi Bishi


Wabunge Chadema Wakaidi Agizo la Mbowe, Watinga Bungeni
WABUNGE watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapo bungeni leo wakiendelea na kazi ya kuwakilisha wananchi wao bungeni licha ya katazo walilopewa na viongozi wao la kutohudhuria vikao vya Bunge la Bajeti linaloemdelea Jijini Dodoma.


KAMBI rasmi ya upinzani bungeni, ilitangaza kuwa wabunge wa Chadema kuanzia Mei 1, 2020, hawangeingia bungeni kuhudhuria vikao na wangebaki nyumbani Dodoma kwa muda wa siku 21 kama tahadhari ya maambukizi dhidi ya ugonjwa wa COVID 19.

Hata hivyo, wabunge watatu wa chama hicho wameingia bungeni leo, ambao ni Joseph Selasini wa Rombo, Peter Lijualikali wa Kilombero na David Silinde wa Momba.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawa walioingia Bungeni Wanajielewa na Ni Wazalendo!1 Na Posho zao hazitakatwa.

    Wale wa Kufata Bendera Inakula Kwao!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad