Baba Levo: Nimeshindwa Kuachia Wimbo Wangu Mpya Wiki hii Sababu ya Upuuzi wa Mtu Mmoja



Msanii wa bongo Fleva , Baba Levo , amelalamika kwamba Kuna mtu mmoja amemsababisha ashindwe kuachia Wimbo wake mpya wiki hii.

Bila kumtaja mtu huyo , Wala kutaja vitu gani ambavyo amefanyiwa mpaka Kufikia kumkwamisha , baba levo ameandika Ujumbe mrefu kwenye Ukurasa wake wa Instagram, wa kutoa shutuma kwa kile anachokiita kuletewa Chuki ili asifanikiwe katika kazi zake .

Msanii huyo ameandika " Wakati mi Nahangaika Kuhakikisha Nakaa vyema kwenye Sanaa Yangu.... Nakaa vyema Na mashabiki wangu...

Bado kuna watu Wanatumia Nguvu kubwa Kunikwamisha Na kuhakikisha sifanikiwi kwa chochote...Chuki... chuki... chukii..NIMESHINDWA KUACHIA WIMBO WANGU MPYA WIKI HII KWA SABABU YAPUUUZI WA MTU MMOJA TU.. NAAMINI NEXT WEEK KABLA YA IJUMAA WIMBO WANGU MPYA UTAKUWA MTAANI..."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad