BALOZI WA KENYA: Kama si Hii Corona Rais wa Kenya Alipanga Kusheherekea Muungano na Tanzania



“Bila hii corona April 26 mwaka huu Kenyatta alipanga aje asherehekee na Watanzania Muungano, alipanga awe na ziara ya muda mrefu hapa TZ kuliko Rais yeyote, uamuzi ambao Kenya imechukua kuhusu safari za mipakani sio kwasababu ya Tanzania bali adui yetu ni kirusi”-Balozi Kazungu
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kazungu, Nakuomba uondoke kuwa msemaji. I naweza kuchafua Hali ya Hewa. NIA yako NI Njema na Unacho Sema NI Kweli tunKijua.

    ILA WAPOTOSHAJI PIA HAWAJALALA.
    WA NAWEZA I FACT WAMESHAANZA KUYAGEUZA NOW THE MORE YOU TALK THE BETTER CHANCES THEY HAVE TO DISTORT AND SPIN IT.

    UHURU NA MAGU NI NDUGU I FACT SISI WOTE TUNA FAMILIA ZERU TANZANIA NA KENYA UNDUGU WA DAMU.. SO keep it a low profile kuokoa uhusiano wetu WA kindugu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad